Home » , , » VIDEO:MTOTO WA MIEZI KUMI ALIA KWA UCHUNGU NI BAADA YA MAMAYAKE KUMWIMBIA NYIMBO HII.

VIDEO:MTOTO WA MIEZI KUMI ALIA KWA UCHUNGU NI BAADA YA MAMAYAKE KUMWIMBIA NYIMBO HII.


Kutokana na udogo wa huyu mtoto wa miezi kumi na jinsi hisia zinavyomteka mpaka kuanza kutoa machozi kutokana na mama yake kuimba nyimbo ndio kilichofanya kila mmoja akimbilie kuitazama video hii na kufikia kutazamwa zaidi ya mara milioni 15 na laki 8 toka imewekwa October 18 2013
 ANGALIA VIDEO HAPA:

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved