Home » , , » HAYASASA KAZI KWENU MWANADADA AFUNGUKA NAMNA HII NAHITAJI MUME WA KUNIOA SOMA VIGEZO HIVI HAPA

HAYASASA KAZI KWENU MWANADADA AFUNGUKA NAMNA HII NAHITAJI MUME WA KUNIOA SOMA VIGEZO HIVI HAPA


Habari zenu, mimi nahitaji mwanaume mwema, mwenye heshima,asiyepiga ovyo na anayejua kupenda wa kunioa. Asilimia kubwa ya wanaume ninaowaona huku mtaani wameoa au wana msululu wa wanawake,sasa mwana kama unajijua una sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema nijibu. Mimi Nina uhakika ntakuwa mke mwema...Weka e-mail ama number ya simu ntazipitia moja moja
Nacy laurent from Dar

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved