Home » , , » MZEE MAJUTO AANIKA UTAJIRI WAKE TAZAMA MALI NA MAJUMBA YAKE

MZEE MAJUTO AANIKA UTAJIRI WAKE TAZAMA MALI NA MAJUMBA YAKE


 


Kwenye interview aliyofanya na Millard Ayo mzee huyu staa wa movie za vichekesho hapa Tanzania ambae mpaka sasa ameshaigiza movie zaidi ya 600, umri wake ukiwa miaka 65… alithibitisha kwamba anapokea mshahara wa milioni 17 mpaka 20 kwa mwezi sasa hivi kutoka kampuni ya Steps anayofanya nayo kazi

Daladala za biashara anazomiliki Mzee Majuto ni tatu tu na anamiliki pia Noah ambayo ndio anaitumia kutembelea.

19 

10
9
5
17

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved