Showing posts with label LAANA. Show all posts
Showing posts with label LAANA. Show all posts

HAYA NDIYO MAVAZI YANAYOSABABISHA UBAKAJI KUZIDI,DADA ZETU PUNGUZENI

Habari zenu

Leo niko na nyie dada zangu ninaowaheshimu na kuwapa heshima mnayostahili!!

Ninakereka sana na vijivazi vyenu mnavyovivaa siku hizi kwa kuwa haviendani kabisa na utamaduni wetu wa kitanzania na unapoteza maadili kabisa katika jamii husika, siyo wakina dada wala akina mama, wote wamejisahau kabisa, unamkuta mdada/mama amekuvalia mini-skirt kiasi kwamba nusu kama siyo robo tatu ya maumbile yake anayaacha wazi,.

Sijui mnafanya makusudi ama vipi maana bado sijapata jibu mpaka sasa, wengine wanasema mnawatega wanaume ili waingie kingi, wengine wanasema ndiyo kuendana na wakati hivyo yaani ni taabu tupu dada zangu, kwanini msivivae hivi vijivazi mkiwa na mabwana zenu humo vyumbani kwenu muwaonyeshe neema mlizojaaliwa ili wawafurahie maana ndiyo wanaostahili kuyaona maumbile yenu?.


Badilikeni ili jamii iwarejeshee heshima yenu tafadhali!! 
<<<<<bofya hapa uone>>>>> 

HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAZIWA MENGI DUNIANI KIFUANI KWAKE ,




MASHOGA,WASAGAJI WAFANYA SEMINA MOROGORO.TAZAMA JINSI ILIVYOKUA


, MOROGORO

WAKAZI wa mjini hapa walifurika katika Ukumbi wa Hedema pande za Msamvu, kushuhudia semina ya mashoga na wasagaji, Risasi Mchanganyiko limefuatilia kwa karibu Semina hiyo ya siku tano iliyoshirikisha mashoga 20 na wasagaji 10 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania ilianza Oktoba 28 hadi Novemba Mosi mwaka huu.
Mwandishi wetu alitinga kwenye Ukumbi wa Hedema na kushuhudia mashoga na wasagaji hao wakipata  kifungua kinywa .
Mmoja wa mashaga hao aitwaye Ibra kutoka Lindi alidai kwamba semina hiyo imewajengea uwezo wa ufanishi wa kazi yao hiyo ya ushoga.
“ Mimi sasa nitakuwa nikitembea na kondomu zangu kwenye begi, nikipata bwana sina shida ya kumuuliza kondomu, hayo ni miongoni mwa mambo tunayoyajadili kwenye semina hii,” alisema Ibra.
Mwandishi wetu alijaribu kuingia kwenye semina hiyo lakini alizuiwa na kutakiwa kuondoka eneo hilo.
“ Humu tunajadili mambo yetu binafsi hivyo hatutaki yaandikwe ukitaka picha njoo Jumapili asubuhi tunamaliza semina yetu tutapiga picha,” alisema kiongozi mmoja wa mashoga hao aliyegoma kutaja jina lake.
Jumapili mwandishi wetu alifika kwenye ukumbi huo na kuambiwa kuwa semina hiyo iliishia Ijumaa na mashoga hao waliondoka Jumamosi.
Jitihada za kumuona  Meneja wa ukumbi huo, Bw Joseph Lukuba zilifanikiwa na alikuwa na haya ya kusema:
“ Awali sikujua kama Semina ile itawashirikisha mashoga na wasagaji kwani waliokuja kukodi ukumbi ni watu wanaojihusisha na mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Ukimwi ambao mara kwa mara huja kukodi ukumbi  wetu.
“Cha ajabu wakati semina ilipoanza nikashangaa kuwaona mashoga na wasagaji wamejaa ukumbini,” alisema meneja huyo.
Alipoulizwa kama anajua ajenda ya semina hiyo Lukuba alisema hajui chochote.
“Jamaa walikuwa makini hawakutaka watu kuingia hovyo kwenye semina yao lakini nahisi walikuwa wakiwapa mafunzo dhidi ya maambukizi ya Ugonjwa wa Ukimwi,” alisema.

UKATILI WA KINYAMA:MTOTO WA MIAKA MITANO AUAWA KIKATILI NA WATU WASIOJULIKANA,,,HAZAMA

Stori: Gladness Mallya na Chande Abdallah
Inauma sana! Mtoto Neema Nyamuhanga mwenye umri wa miaka mitano, mkazi wa Mlandizi, Pwani ameuawa kikatili na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutelekezwa porini.
Mtoto Neema enzi za uhai wake.
Mwili wa mtoto Neema uliokotwa na wachunga ng’ombe katika pori la Disunyara lililopo kilometa saba kutoka nyumbani kwa akina Neema, Mlandizi Novemba mosi, mwaka huu.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mwili huo ulikuwa umenyofolewa koromeo, meno yote ya chini na sehemu za siri huku nguo ya ndani ikiwa imewekwa pembeni.
Mama mzazi wa mtoto Neema (katikati) akilia kwa simanzi.
Akizungumza kwa masikitiko na gazeti hili, baba wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Nyamuhanga, alisema Novemba 27, mwaka huu, Neema alifika nyumbani akitokea shuleni kwani alikuwa anasoma darasa la awali na kutaka mama yake ampe chakula.
Baada ya kula, Neema aliondoka  na hakurudi hadi usiku, jambo ambalo liliwashtua wazazi wake na majirani walioanza kumtafuta.
Mwili wa mtoto Neema.
ALIJITABIRIA KIFO CHAKE?
Mtoto Neema alijitabiria kifo chake kwani baada ya kula chakula alimwambia mama yake kuwa amechoka na maisha anaondoka lakini mama yake alipuuzia na kuona ni maneno ya kitoto.
Cha kushangaza kweli mtoto huyo aliondoka kama vile anaenda kucheza na hakurejea tena nyumbani.
Jeneza lenye mwili wa Neema likifunikwa.
ATAFUTWA KWA SIKU SITA
Kwa mujibu wa baba Neema, walijitahidi kutoa taarifa polisi, misikitini na kumtafuta katika shule mbalimbali za Mlandizi ambapo watoto wachache walikiri kumuona akipita mitaa yao lakini hakuna aliyejua wapi mtoto huyo alipoelekea.
Kutokana na kutafuta kila sehemu bila mafanikio kwa siku sita, walitafuta njia nyingine ambapo walitumia waganga wa kienyeji kwa ajili ya kumrudisha mwanaye.
...Jeneza likitolewa nje ya nyumba.
“Kweli inaniuma sana, nimepata maiti ya mwanangu, bado siamini maana nilikuwa na huyu mtoto mmoja tu na miezi michache iliyopita mke wangu alikuwa mjamzito mtoto akafia tumboni,” alisema mzazi huyo huku akifuta machozi.
USHIRIKINA WATAJWA
Katika msiba huo, wengi walikiri kuwepo kwa ushirikina kutokana na jinsi mtoto huyo alivyopotea, waganga walivyotoa vitu vya ajabu ndani ya nyumba hiyo na mtoto kutolewa baadhi ya viungo.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Neema likiwa mbele ya waombolezaji.
ALAZWA LUPANGO
Kutokana na waganga hao kuwepo nyumbani kwake, kundi kubwa la watu lilijaa na kusababisha polisi kufika eneo hilo na kumchukua baba Neema pamoja na waganga watatu ambapo alilala lupango siku mbili katika Kituo cha Polisi cha Mlandizi kwa kile kilichodaiwa kuwa hakuwa na kibali cha kujaza watu nyumbani kwake.
Mwili wa mtoto Neema ukiombewa kabla ya mazishi.
Baba Neema alisema uchunguzi wa daktari ulionesha kuwa mtoto wake aliuawa mbali na kutupwa eneo hilo.
Kutokana na maiti hiyo kuharibika vibaya ilipelekwa moja kwa moja nyumbani kwao na kuzikwa Novemba 2, mwaka huu katika makaburi yaliyopo maeneo hayo ya Mlandizi.
Mama mzazi wa Neema akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na mwanaye.
Baadhi ya majirani waliokuwa kwenye msiba huo walisema katika eneo lao hilo kumekuwa na matukio mengi ya watoto kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Mwili wa Neema ukizikwa.
MWENYEKITI ANENA
Mwenyekiti wa Mlandizi-Kati, Ali Bakari Nyambwili alikiri kutokea kwa matukio hayo na kusema kuwa wamejiandaa kukomesha matukio hayo kwa kuanzisha ulinzi shirikishi na utambuzi kwa kila mgeni atakayeingia katika kijiji hicho.
Waombolezaji wakiwa na huzuni.
Mazishi yakiendelea.
Kaburi la mtoto Neema.

MKE WAMTU SIMWENZIO:SHABARO ANUSURIKA KUTOWEKA DUNIANI BAADA YA KIPIGO CHA MBWA MWIZI KUMPATA.HEBU TAZAMA ILIVYOKUA

KIJANA mmoja mtanashati ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja juzikati alijikuta akichezea kichapo cha mbwa mwizi kisa kikidaiwa kuwa ni mke wa mtu.


Usione vyaelea: Sharobaro (katikati) akilia baada ya kuchezea kichapo kwa kukutwa na mke wa mtu.
 Tukio hilo lilijiri saa saba usiku mwishoni mwa wiki iliyopita, Chalinze mkoani Pwani ambapo mapaparazi wetu walikwenda kwa ajili ya uzinduzi wa kundi jipya la sanaa liitwalo 3 Ways.
 Wakati shamrashamra zikiendelea, ghafla liliibuka timbwili na katika kufuatilia ilibainika sharobaro anayeishi eneo hilo alikuwa akila kipigo kutoka kwa mwanaume mmoja akimtuhumu kuwa alimkuta akiwa amekaa chobingo kihasarahasara na mkewe.

Mke wa mtu sumu: Sharobaro hoi baada ya kipigo.
 Licha ya baadhi ya wasanii kujaribu kuingilia kati ugomvi huo, jamaa huyo aliendelea kushusha kichapo hadi pale watu walipomtolea uvivu na kumzuia asije akasababisha mauaji.
 “Unajifanya sharobaro halafu unazengea wake za watu, sasa wee umeipata fresh na huyo mwenzako akirudi nyumbani naye
atakiona,
” alisikika akisema mwanaume huyo huku akionekana kufura.

 Kufuatia kichapo hicho, sharobaro huyo alijikuta akiangua kilio huku akilalama kuwa mwanamke huyo amemponza na kumharibia siku yake.
 

Kilio: Sharobaro akizidi kububujikwa na machozi baada ya kipondo kutoka kwa mwenye mali.
 Wakizungumzia tukio hilo, baadhi ya mashuhuda walisema, kipigo alichopata kijana huyo ni fundisho kwa masharobaro wengine ambao wamekuwa na uhusiano wa karibu na wake za watu.
 “Unajua hawa vijana hii ndiyo dawa yao, wanajisahau sana. Yaani anajua kabisa fulani ni mke wa mtu lakini anajiweka, sasa kwa kipigo hiki atakuwa fundisho,” alisema baba mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Baba Zulfa.
 Aidha, wengine walimtetea kijana huyo na kudai kuwa mwanamke huyo ndiye anayestahili kulaumiwa kwa kukubali kukaa gizani na kijana huyo wakati akijua ni mke wa mtu.

LAANA:VIDEO MSICHANA AKIMNYONYA BOYFRIEND WAKE NYETI,YAVUJA MTANDAONI HII HAPA

Huyu ndiye binti wa chuo kikuu na msomi kutoka kenya...
Arekodiwa na mpenzi wake wakati akifanya ngono nae ...Tena cha kumdhalilisha zaidi  arekodiwa akikataa kunyonya u**o huku akilalamika " JAMANI MI SITAKI KUN****A"..Hii ni aibu sana kwa kinadada ambao mpaka leo wanaendea kurekodiwa na wapenzi wao...
Video hii inatamba sana kwenye mitandao ya Watssup na mitandao ya kenya
KUMBUKA..
Ukisex na ukikubali kuonyesha uso na kurekodiwa ...Be prepared siku moja utakuwa hadharani....
Mabinti jifunzeni...Mnaudhi sana..
                                     <<<<BOFYA HAPA UANGALIE>>>>
 

HUYU NI MSICHANA MREMBO ANAUZA BIKIRA YAKE KWA SH 48 MILIONI.KWA MAELEZO ZAIDI HAPA

Upo single? Una shilingi milioni 43 za kuchezea? Basi mrembo huyu wa Urusi, anakupa fursa ya kulimenya ganda lake vyovyote utakavyo kwa mkwanja huo.


   

Mrembo huyo aitwaye Shatuniha ameinadi bikira yake £17,000 sawa na zaidi ya shilingi milioni 43 za Kibongo. Shatuniha, 18, alisema: “Nina shida ya haraka ya hela, hivyo nauza kitu changu cha thamani zaidi ninachomiliki. Niko tayari kukutana na mtu haraka iwezekanavyo, hata kama ni kesho na nipo tayari kuthibitisha kama kweli ni bikira.

Naweza kuja kwenye hoteli pale Predmostnaya Square nikiwa na nyaraka za kuthibitisha ubikira wangu, na mtu ambaye atachukua hela na kuondoka ili nisiingizwe mjini. Mtu huyu ataondoka na hela lakini mimi nitabaki. Pesa inatakiwa kuwa cash tu.”
Bongo5

MAKUBWAAA:HOTELI INAYOUZA NYAMA ZA WATU YABAINIKA HII HAPA





Polisi walifanikiwa kuvikamata vichwa hivyo baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema wanaoishi karibu na hoteli hiyo ambapo mbali na vichwa hivyo viwili lakini pia walikamata bunduki mbili aina ya  AK47,kofia mbili za jeshi pamoja na simu nyingi.Watu saba wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria katika hoteli moja iliyopo karibu na soko moja maarufu sana nchini humo linalofahamika kwa jina la Ose-Okwodu katika mji wa Anambra baada ya kukamatwa kwa vichwa viwili vya binadamu vikiwa bado vibichi lakini jina la hoteli hiyo linahifadhiwakutokana na sababu za kiusalamahotel human heads in onitsha “kila wakati nimekuwa nakuja hapa sokoni na kufanya biashara zangu katika hoteli hii kwasababu ipo karibu sana na soko.lakini nilikuja kugundua mambo ambayo sio ya kawaida ikiwemo watu wakiingia na kutoka katika hoteli hii,chakushangaza zaidi ni kutokana na watu hao kuwa ni wachafu sana wakati mwingine wakiwa wamechafuka damu,kwahiyo sikushangaa sana kusikia polisi wamegundua unyama huo jana asubuhi”alisema jamaa mmoja muuza mboga mboga katika eneo hilo.

Mchungaji mmoja ambaye ni mmoja kati ya watu waliowatonya askari kuhusu biashara hiyo ya nyama za watu katika hoteli hiyo alisema "niliwahi kwenda kwenye hoteli hiyo mapema mwaka huu,niliagiza chakula lakini baada ya kula nilihisi nyama ilikuwa na chumvi kwa kiwango cha N700,nilishangaa sana.kwahiyo sikujua kama ni nyama ya binadamu au la nilishangaa kwasababu ilikuwa inauzwa ghali sana”alimalizia mchungaji huyo

SOURSE: DJ SEK BLOG

HUYU NDIYE BINADAMU MZITO KULIKO WOTE DUNIANI,ANA KILO 610,ANGALIA KUTEMBEA KWAKE

Mtu Huyu Ana Uzito Wa Kilo 610, Kutokana Na Afya Yake Kuhitaji Msaada Kitaalam, kutokana na kuzidi kunona kadri siku zinavyozidi kwenda.

Mfalme wa Saudi Arabia, ameingilia kati mpango wa kumsaidia Raia wa nchi hiyo, Khalid bin Mohsen Shaari ambaye ndiye binadamu mnene na mzito zaidi duniani akiwa na uzito wa kilogram 610, katika mchakato wa kumtibu na kumrudisha katika hali nzuri zaidi.




Kutokana na unene, ukubwa na uzito wake, Khalid hawezi kutembea wala kusogea mwenyewe bila msaada wa kifaa maalum cha kumbeba akiwa katika kitanda chake, na cha ajabu zaidi, Ni mshkaji mdogo tu ambaye umri wake ni kati ya miaka 18 na 20.

Kwa mujibu wa rekodi za Guiness, Manuel Uribe kutoka Mexico ndiye aliyekuwa akishikilia rekodi ya mtu mzito na mnene zaidi duniani ambapo alikuwa na uzito wa kilo560, Na baada ya kuonekana na kuingizwa katika matibabu, kwa sasa amepungua na kufikia uzito wa kilo 444.


Mfalme Abdullah tayari ametoa amri kuwa Khalid kuhamishwa huko Riyadh kwaajili ya mchakato wa matibabu yake.

VIDEO:MCHEZO WA KANGA MOKO HUKO MALANCIA WAWAVUTIA WALIOWENGI HEBU CHEKI::::




 bonyeza link hii kuifuata video................

LAAANA:MWAMAMKE AAMUA KUGAWA URODA MBELE YA MWENAE,CHEKI ILIVYOKUA

KWA WANAWAKE:JE UNATAKA MKAMATA MUMEO KISAWASAWA JIBU LAKO HILI HAPA

 


Awali ya yote, nianze kwa kuwatupia lawama makungwi wanaowafunda wanandoa na kushindwa kuwafundisha vitu hivi, unatakiwa kumueleza mwari wako maana ya udi, asmini, kilua na hina. Ajue vitu hivi vina maana gani kwa mwanamke mwenye ndoa yake.
Somo asiyefikisha ujumbe kwa mwari wake huwa namwita feki, kwani toka nianze kuandika nimekuwa nikiulizwa mambo mengi ambayo naamini kuwa kama mtu kapitia kwa kungwi lazima atakuwa anayafahamu

MAFUNZO SASA 
Leo nitoe mafunzo ya mambo haya kwa ufasaha kabisa. Shosti wewe ambaye hujui ndiyo ukae kitako unisome kwani utapata faida na utaidumisha ndoa yako.
Unachukua maua ya asmini, majani ya mrangirangi, kilua na pompiyo. Kwa pamoja unaviweka kweye kitambaa ambacho unakifunga na uzi. Fundo hilo ndilo linaitwa kuba la asmini.
Shoga wewe si wa kileo? Basi fundo hilo liweke kwenye cheni yako halafu vaa shigoni au kiunoni.
Ukishavaa, kazi inakuwa kwa mwanaume, kwani yeye ndiye mwenye ruhusa ya kulikata hilo kuba la asmini.

ATALIKATAJE? ENDELEA KUNIFUATILIA
Mwanaume aliyekamilika, aliyefundwa akafundika anajua jinsi ya kulikata hilo kuba. Halikatwi kwa mkasi wala kiwembe, linakatwa kwa meno bibi.
Unaweza kuvaa lililochanganywa na vitu vyote shingoni kisha la asmini pekee ukavaa kiunoni, utaniambia huko utakachokutana nacho. Kuba lina stali yake ya kukatwa, ni ufundi tu wa mumeo.

UDI NA MISK
Wanawake wengine wameumbwa na maumbile yenye jasho lisilovumilika kwa mume. Utakuta mtu anamtesa mumewe kwa kulala amegeukia ukutani mpaka asubuhi, akiamka anaanza kutangaza eti mume wake anamnyima haki yake.
Shoga jichunguze sana, hakikisha mumeo anakuwa nawe kwa furaha zote, siyo yupo nawe kutimiza tu wajibu.
Paka misk kwenye kiungo, inaondoa harufu mbaya yote. Ni pafyum ya asili, isiyokuwa na tatizo lolote mwilini.
Udi mwanamke ni lazima kila siku asubuhi na jioni. Ujifukize ili kukifanya chumba kinukie na wewe unukie, kwa nini mumeo ahamie kwa jirani kwa sababu ya harufu nzuri wakati zinauzwa madukani? Jiulize mwanamama na uchukue hatua.
Epuka ubize wa maisha kwani utajikuta unampoteza mwanaume ambaye ni muhimu sana katika maisha yako. Kila siku nakwambia kuwa mambo yanayokuweka bize unaweza kuyapata lakini mume utampata wapi?
Tokomeza kansa ya ndoa, mpende mwanaume wako, mpe haki yake ya kila siku. Epuka kulala na nguo, shuka tu inatosha. Oga vizuri na unapotaka kulala hakikisha unafuata yale niliyokufundisha, zingatia mlo sahihi, mwisho kumbuka kusema asante kwa mumeo.
kesho tukutane kwa mada nyingine.

UJASIRI WA KUSEMA KUWA MPENZI WAKO HAKUSALITI UNATOA WAPI HEBU SOMA HAPA

KATIKA uhusiano wa kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusikia mpenzi wako uliyempa nafasi kubwa kwenye moyo wako anatembea na mtu mwingine. Licha ya kwamba ni kitu kinachoumiza sana, bado tumekuwa tukishuhudia baadhi ya watu wakiwasaliti wenza wao tena wakati mwingine waziwazi.
Aidha, wapo ambao wanafanya usaliti kwa kujificha sana kiasi kwamba wenzao wanaamini hawasalitiwi.
Huko nyuma utakumbuka nilishawahi kuzungumza kwamba, unapoingia kwenye uhusiano na mtu ambaye moyo wako umemzimikia, hutakiwi kuwa na mashaka naye.

Muamini na weka akilini mwako kwamba hawezi kukusaliti. Kwa kufanya hivyo maisha yako yatakuwa ni yenye amani siku zote.
 Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo, tumekuwa tukiwashuhudia marafiki, ndugu na hata majirani zetu ambao tunawaona wametulia wakiwasaliti wenza wao kila kukicha.
Wapo wake za watu ambao tumekuwa tukiwaamini kuwa wametulia lakini siku moja tunawaona wakiingia gesti na wanaume wengine.
 Achilia mbali hilo, wewe unayesoma makala haya unaweza kuwa na rafiki yako ambaye unajua fika ana mtu wake lakini unashangaa anampa nafasi mtu mwingine na wanakuwa wakikutana kwa siri huku wewe ukiambiwa iwe siri yako.
Binafsi kuna dada mmoja ambaye namheshimu sana, ni jirani yangu ana mume wake ambaye inaonekana anampenda sana. Yule mume amekuwa na imani kubwa kwa mkewe kwamba hawezi kumsaliti lakini nimeshawahi kumuona na wanaume wengine na akanisihi sana nisimwambie mume wake. Na kweli siri hiyo imebaki moyoni mwangu hadi leo.
 Sasa katika mazingira hayo huwa nakaa na kujiuliza, wale wanaosema wanawaamini wapenzi wao kwa asilimia zote ujasiri wanaupata wapi? Hata kama ni suala la imani lakini siyo kwa mazingira tunayoishi sasa na sarakasi za usaliti zilivyo.
Utakuwa ukijilazimisha kuamini mpenzi wako hawezi kukusaliti lakini kuna wakati unajiwa na hisia kwamba anakusaliti ila hisia hizo unazipotezea ili kutojipa vidonda vya tumbo, si ndiyo ee?
Kikubwa nisisitize kwamba mapenzi ni imani. Ni sawa na kuamini kwamba Mungu yupo licha ya kwamba hujawahi kumuona. Vivyo hivyo, amini tu kwamba mpenzi wako anakupenda kwa dhati na hawezi kukusaliti licha ya kwamba kinyume chake pia ni sawa. Hiyo itakusaidia wewe kuendelea kuishi maisha ya furaha na amani.
Hivi ni wanaume wangapi ambao wake zao wanagawa penzi nje ya ndoa lakini waume zao hawajui na wanawaamini kupita maelezo? Ni wanawake wangapi ambao waume zao ni viwembe kwelikweli lakini wake zao wanawaamini kupindukia?
Tutambue tu kwamba, katika maisha kuna kitu kuridhika. Unapokuwa na mtu ambaye anakupa kila aina ya furaha maishani mwako bila kuonesha tabia zozote zinazokutia mashaka juu ya penzi lake, huyo mpende, mheshimu na muamini.
Hata kama kuna uwezekano wa yeye kuwa anaficha makucha yake na kuyachomoa pale anapokuwa mbali na wewe, kwa sababu huna uhakika na hujawahi kumuona, chukulia kwamba yeye ni msafi kisha yaache maisha yenu yaendelee kuwepo.

SOUTH AFRIKA: LAAANA MWALIMU WA KIKE ATOA URODA KWA MWANAFUNZI WAKE,

South African Female Teacher Admits Sexual Relations With Pupil

MAHIKENG, North West – A female teacher at Mahikeng High School, in North West, has admitted having a sexual relationship with a teenage boy at his home in Denville, SABC news reported on Tuesday.
Geraldine Sheldonlake was appearing in the Mmabatho Regional Court.
The boy testified they had sex several times in Mahikeng and also in Cape Town.
He said he was enticed by gifts and money, and was 16 when the relationship began. The boy said the relationship severely affected him.
Judgment was expected this week, the SABC reported.

MWANZA:MGANGA AKAMATWA NA KIGANJA CHA BINADAMU AKIWA KWENYE HARAKATI ZA KUKIUZA.MKASA KAMILI HUU HAPA


Mtu mmoja jijini Mwanza anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100.

Washukiwa walikamatwa  jana  karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza  wakifanya  biashara  hiyo  haramu.... 
 Baada  ya  upekuzi  wa  kina, mteja  alikuwa  ana  milioni  100  na mganga alikutwa  na   kiganja cha  binadamu  ambacho kilikuwa  kibichi kikitoa damu.
Kiganja  hicho  kilikuwa  kimevishwa  tunguri  na nywele za binadamu.

INASIKITISHA:MZAZI AKOSA UTU,AMWADHIBU MWANAE KWA SILAHA ZA ULINZI KWA KOSA LA KUTOKWENDA SHULE HEBU TAZAMA HAPA

Victoria Mukama (10) akiwa hospitali ya rufaa mbeya baada ya kupigwa na baba yake mzazi sehemu mbali mbali za mwili wake akitumia vifaa vya ulinzi likiwemo Lungu.
Mwalimu wa zamu wa Shule ya Msingi Airport, Damali Obadia alisema tukio hilo la ajabu lilitokea majira ya saa mbili na nusu asubuhi ambapo akiwa ofisini alimuona mzazi huyo akiwa na mtoto huku akiendelea kumpiga wakielekea ofisini.
Mama mzazi wa binti huyo Teodora Paulo alisema yeye na mume wake hawakuwepo nyumbani ambapo baada ya kurejea kutoka Msibani majira ya asubuhi walimkuta binti yao hajaenda shule na walivyomuuliza sababu ya kutoenda shule alijibu alikuwa havioni viatu vyake.
majirani wa mtuhumiwa huyo walidai kuwa tabia ya Mwanaume huyo kufanya unyanyasaji inafichwa na mkewe ambaye anaonekana kuwa muoga wa kupigwa na mumewe na kuongeza kuwa anatabia ya kuandika makosa anayotendewa na mkewe.
Victoria Mukama (10) baada ya matibabu
KATIKA hali isiyokuwa ya Kawaida, Baba mmoja aliyejulikana kwa jina la Oscar Mukama mkazi wa Isengo Airport Jijini Mbeya amemjeruhi vibaya binti yake Victoria Mukama (10) kwa kumpiga sehemu mbali mbali za mwili wake akitumia vifaa vyake vya ulinzi likiwemo Lungu.
Kwa mujibu wa Mwalimu wa zamu wa Shule ya Msingi Airport, Damali Obadia alisema tukio hilo la ajabu lilitokea majira ya saa mbili na nusu asubuhi ambapo akiwa ofisini alimuona mzazi huyo akiwa na mtoto huku akiendelea kumpiga wakielekea ofisini.
Alisema mzazi huyo baada ya kufika walimu walimpokea na kumuuliza kwa nini anampiga kiasi hicho mtoto wake alijibu mtoto ni wa kwake mwenyewe na alizaa kwa manufaa yake hivyo haoni sababu ya kuulizwa kuhusu kipigo kwa mwanaye.
Aliongeza kuwa baada ya walimu kumweleza kuwa kitendo alichokifanya ni cha kinyama na hakipaswi kutendeka Mzazi huyo alitoa kisu na kuwatishia walimu ikiwa ni pamoja na kutoa matusi makali dhidi yao ambapo walimu walifanikiwa kumtuliza na kumuomba amwache mtoto ili walimu wamwadhibu.
Alisema baada ya mzee huyo kuondoka na kumwacha mtoto walimpigia simu mama wa mtoto ambaye baada ya kufika shule alizimia kutokana na hali aliyomkuta nayo mtoto wake ambapo Walimu walitoa taarifa kwa Mwenyekiti wa Mtaa kasha kwenda Polisi kuchukua Fomu namba tatu (PF3) kwa ajili ya matibabu.
Mama mzazi wa binti huyo Teodora Paulo alisema yeye na mume wake hawakuwepo nyumbani ambapo baada ya kurejea kutoka Msibani majira ya asubuhi walimkuta binti yao hajaenda shule na walivyomuuliza sababu ya kutoenda shule alijibu alikuwa havioni viatu vyake.
Alisema baada ya kumsaidia kutafuta na kutofanikiwa kuviona baba yake ambaye nayeb alikuwa amejiandaa kwa ajili ya kwenda kazini kwake anakofanya kazi ya Ulinzi alimwamuru mwanaye kuvaa sare za shule na kwenda naye hivyo hivyo kwa kile alichodai anampeleka shule.
Alisema alishikwa na butwaa hadi kupoteza fahamu baada ya kumkuta mtoto amejeruhiwa huku akiwa amepigiwa simu na mumewe kwamba aende shule kumchukua mtoto wake lakini hakujua kama amepigwa kiasi cha kumjeruhi mtoto sehemu mbali mbali za mwili wake.
Akizungumzia kisa cha kupigwa kwake baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya katika Chumba cha dharula, Victoria Mukama (10) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Airport alisema wakiwa njiani kuelekea shuleni alishangaa akianza kupigwa bila kuelezwa sababu ni nini.
Alisema alianza kupigwa tangu wanatoka nyumbani hadi wanafika shule iliyoumbali wa Mita 250 kutoka Nyumbani hadi Shuleni akitumia Virungu na fimbo huku akiwa ameshika kisu mkononi kwa ajili ya kuwatishia wanataka kumuokoa.
Kutokana na tukio hilo Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta Mtuhumiwa huyo wa unyanyasaji wa watoto baada ya kufunguliwa kwa jarada lenye namba MB/IR/9563/2013 katika kituo cha kati cha Polisi Mbeya.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Pambogo Esia Edward ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Shule hiyo alisema kitendo kilichofanywa na mtuhumiwa huyo hitendo hakipaswi kufumbiwa macho hivyo ni lazima sheria ichukue mkondo wake kwa kuhakikisha vitendo hivyo vinakomeshwa ndani ya jamii.
Aliongeza kuwa hajawahi kusikia mtuhumiwa huyo kama amewahi kujihusisha na ukatili wa namna hiyo na kuongeza kuwa huwa anatoa ushirikiano vizuri katika ngazi ya mtaa na kuhudhuria vikao mbali mbali vinavyoitishwa pamoja na kuchangia mada.
Nao majirani wa mtuhumiwa huyo walidai kuwa tabia ya Mwanaume huyo kufanya unyanyasaji inafichwa na mkewe ambaye anaonekana kuwa muoga wa kupigwa na mumewe na kuongeza kuwa anatabia ya kuandika makosa anayotendewa na mkewe.
Walisema awali amewahi kuoa mke na kuzaa nae watoto watatu lakini mkewe huyo alikimbia baada ya kuona tabia ya unyanyasaji imezidi kutoka kwa Mwanaume huyo aliyetajwa kuwa ni jamii ya watu wa Mosoma Mkoani Mara ambako tabia kandamizi dhidi ya wanawake na watoto bado zinafanyika.

KESI YA MAUAJI YA ERASTO MSUYA YAPIGWA KALENDA HADI DEC 11,WATU WAPOTEZA FAHAMU NA WENGINE WAPATA UPOFU TAZAMA HAPA

Ndugu wa Marehemu ERasto Msuya waliofika Mahakamani wakimuondoa Mdogo wa Marehemu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kumuwaisha Hospitali baada ya Kupoteza Fahamu muda mfupi tu baada ya Mahaka ya Hakimu Mkazi Moshi, kuahirisha Kesi hiyo hadi Desemba 11.
Ndugu wa Marehemu Erasto Msuya waliofika Mahakamani wakimuondoa Mdogo wa Marehemu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kumuwaisha Hospitali baada ya Kupoteza Fahamu muda mfupi tu baada ya Mahaka ya Hakimu Mkazi Moshi, kuahirisha Kesi hiyo hadi Desemba 11.
Mshitakiwa namba mbili, Shaibu Jumanne Saidi maarufu kama Mredi (38), anayetuhumiwa na wengine saba, kumuua Mfanyabiashara Erasto Msuya kwa kumpiga risasi akitoka kwa taabu nje ya mahakama ya Hakimu mkazi Moshi, baada ya kesi hiyo kuahirishwa hadi Desemba 11, mwaka huu
Ndugu wa Marehemu Erasto Msuya waliofika Mahakamani wakimuondoa Mdogo wa Marehemu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kumuwaisha Hospitali baada ya Kupoteza Fahamu muda mfupi tu baada ya Mahaka ya Hakimu Mkazi Moshi, kuahirisha Kesi hiyo hadi Desemba 11, mwaka huu
Washtakiwa namba 8, Ally Mussa "Majeshi" (aliyevaa suruali ya bluu) na mwenzake wakifunika nyuso zao kukwepa Kamera ya Mpiga picha wetu, wakati wakiondolewa Mahakamani, muda mfupi baada ya Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi, kuahirisha kesi hiyo hadi Desemba 11, mwaka huu.
Mmoja wa Washtakiwa katika kesi ya Mauaji, anayetuhumiwa kushirikiana na wenzake saba, kumuua Mfanyabiashara Erasto Msuya kwa kumpiga risasi akisindikizwa na Maaskari kutoka katika mahakama ya Hakimu mkazi Moshi, muda mfupi baada ya kesi hiyo jana kuahirishwa hadi Desemba 11, mwaka huu.
Mshitakiwa, Sharif Mohamed Athuman (31), ambaye ni mshitakiwa namba moja katika kesi ya Mauaji ya Bilionea wa Madini ya Tanzanite, Erasto Msuya mchimbaji mdogo wa madini na mkazi wa Kimandolu mkoani Arusha, akitoka nje ya Mahakama ya Hakimu mkazi Moshi, muda mfupi baada ya kesi hiyo kuahirishwa hadi Desemba 11, mwaka huu.
Mmoja wa Washtakiwa katika kesi ya Mauaji, anayetuhumiwa kushirikiana na wenzake saba, kumuua Mfanyabiashara Erasto Msuya kwa kumpiga risasi akisindikizwa na Maaskari kutoka katika mahakama ya Hakimu mkazi Moshi, muda mfupi baada ya kesi hiyo jana kuahirishwa hadi Desemba 11, mwaka huu.

Washitakiwa Joseph Damian "Chusa" na mwenzake Shaibu Jumanne Saidi "Mredi", wakimsaidia Mshitakiwa mwenzao kupanda katika Gari la Polisi muda mfupi baada ya kesi inayowakabili ya mauaji ya Bilionea wa Madini ya Tanzanite, Erasto Msuya kuahirishwa hadi Desemba 11, mwaka huu

Mwandishi Wetu, Moshi
MAHAKAMA ya Hakimu mkazi Moshi, Leo imeahirisha Kesi ya Mauaji ya Bilionea wa Madini ya Tanzanite Jijini Arusha,Erasto Msuya (43), hadi Desemba 11 mwaka huu. 
Kesi hiyo iliyotajwa katika Mahakama hiyo kwa mara kwanza, Agosti 21, mwaka huu, mbele ya Hakimu Mkazi, Munga Sabuni, inawakabili watuhumiwa 8 wanaodaiwa kuuwa kwa kukusudia kinyume cha Sheria ya Makosa ya jinai, Kanuni ya 16, Kifungu cha 196.
Pamoja na idadi ya Watuhumiwa wanaodaiwa kuhusika na Mauaji hayo ya kikatili, yaliyotokea Agosti 7, katika maeneo ya Mjohoroni, wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, kukamilika, Upande wa Mashtaka, ukiongozwa na Wakili, Janet Sekule, uliwasilisha Maombi ya kutaka Kesi hiyo ipangiwe Tarehe mpya ili kupisha Upepelezi kukamilika.
Wakili Sekule, alisema kuwa kutokana na uzito wa Kesi hiyo, Jamhuri ingependa kupatiwa muda wa kukusanya ushahidi wa kutosha ambao utawasaidia katika kesi hiyo, ombi ambalo halikupata pingamizi lolote kutoka upande wa Washtakiwa.
“Mheshimiwa Hakimu, kutokana na uzito wa shauri la kuuwa kwa makusudi kinyume na kanuni namba 16, kifungu cha 196 ya sheria za makosa ya jinai, inayowakabili washtakiwa namba 1 hadi 8, Jamhuri inaiomba Mahakam yako tukufu, kupewa muda wa kukamilisha ushahidi,” alisema Sekule.
Baada ya kuridhika na maelezo ya Maombi ya Upande wa Jamhuri, Mahakama ya Hakimu Mkazi Munga Sabuni, iliahirisha Kesi hiyo hadi Desemba 11, mwaka huu itakapofikishwa mbele ya Mahakama hiyo kwa ajili ya kutajwa.
Katika Kesi hiyo, Mshtakiwa namba Tano, Joseph Damas Mwakipesile “Chusa” (36), ambaye ni Mfanyabiashara Maarufu wa Madini anadaiwa kuwa alishirikiana na Mshtakiwa Ally Mussa “Majeshi”, anayedaiwa kuwahi kulitumikia Jeshi la kujenga Taifa (JKT), kabla ya kufukuzwa pamoja na wengine 6 kumuua kwa kumpiga Risasi 13, Bilionea wa Madini, Erasto Msuya (43).
Watuhumiwa hao kwa pamoja wanadaiwa kuwa mnamo, Agosti 7, mwaka huu majira ya6:30 mchana walifanya kitendo hicho kando ya barabara kuu ya Arusha– Moshi katika eneo la Mjohoroni, Wilaya ya Hai, karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Washtakiwa wengine ni, Sharif Mohamed Athuman (31), mchimbaji mdogo wa madini na mkazi wa Kimandolu mkoani Arusha, Shaibu Jumanne Saidi maarufu kama Mredi (38), mkazi wa Songambele, Wilaya ya Simanjiro, Jalila Zuberi Said (28), mkazi wa Babati, Sadiki Mohammed Jabir ‘Msudani’ au ‘Mnubi’(32), mkazi wa Dar es Salaam na Lang’ata wilayani Hai, Karim Kihundwa (33) mkazi wa Kijiji cha Lawate Wilaya ya Siha na Mussa Juma Mangu (30), mkazi wa Shangarai kwa Mrefu mkoani Arusha.
Credit: Taifa Letu

VITUKO:PICHA RIHANA AKIWA AMEWEKA KUFULI PEMBENI.MMMH MAKUBWA

RIHANNA APIGA PICHA ZA NUSU-UCHI KWA JARIDA LA UINGEREZA






KWA PICHA ZAIDI
<<<BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI>>>>
 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved