Polisi walifanikiwa kuvikamata vichwa
hivyo baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema wanaoishi karibu
na hoteli hiyo ambapo mbali na vichwa hivyo viwili lakini pia
walikamata bunduki mbili aina ya AK47,kofia mbili za jeshi pamoja na
simu nyingi.Watu saba wanashikiliwa na jeshi la
polisi nchini Nigeria katika hoteli moja iliyopo karibu na soko moja
maarufu sana nchini humo linalofahamika kwa jina la Ose-Okwodu katika
mji wa Anambra baada ya kukamatwa kwa vichwa viwili vya binadamu vikiwa
bado vibichi lakini jina la hoteli hiyo linahifadhiwakutokana na sababu
za kiusalamahotel human heads in onitsha “kila wakati nimekuwa nakuja hapa sokoni
na kufanya biashara zangu katika hoteli hii kwasababu ipo karibu sana
na soko.lakini nilikuja kugundua mambo ambayo sio ya kawaida ikiwemo
watu wakiingia na kutoka katika hoteli hii,chakushangaza zaidi ni
kutokana na watu hao kuwa ni wachafu sana wakati mwingine wakiwa
wamechafuka damu,kwahiyo sikushangaa sana kusikia polisi wamegundua
unyama huo jana asubuhi”alisema jamaa mmoja muuza mboga mboga katika
eneo hilo.
Mchungaji mmoja ambaye ni mmoja kati ya
watu waliowatonya askari kuhusu biashara hiyo ya nyama za watu katika
hoteli hiyo alisema "niliwahi kwenda kwenye hoteli hiyo mapema mwaka
huu,niliagiza chakula lakini baada ya kula nilihisi nyama ilikuwa na
chumvi kwa kiwango cha N700,nilishangaa sana.kwahiyo sikujua kama ni
nyama ya binadamu au la nilishangaa kwasababu ilikuwa inauzwa ghali
sana”alimalizia mchungaji huyo
SOURSE: DJ SEK BLOG
TOA MAONI YAKO HAPA