Home » , » KAZI KWENU WANAUME,MTOTO AFUNGUKA ,,NATAKA MWANAUME...KWA MAWASILIANO...

KAZI KWENU WANAUME,MTOTO AFUNGUKA ,,NATAKA MWANAUME...KWA MAWASILIANO...


 
                Mimi  ni  mwanamke  mjasiliamali mwenye  umri wa miaka 25.Ni  mzaliwa  wa  Sumbawanga  ila  makazi  yangu  kwa  sasa  ni Dar.Sina  mtoto  na  sijaolewa.

Natafuta  mwanaume  mwenye  mapenzi  ya  dhati  ili  awe  mume   wangu  baadae.Mimi  sichagui  dini  wala  kabila, ila  sipendi  mwanaume  mgomvi  na  malaya  maana  siku  hizi  kuna  magonjwa  mengi.

Mwenye  nia  ya  dhati  tuwasiliane  kwa  email  yangu  ili  tupeane  namba  za  simu.

Email:agnessmd2@yahoo.com
SOURCE PAPARAZI

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved