Watu wakimshangaa bibi aliyedaiwa kuwa mchawi. Ni aliyekaaa katikati.
...Akiwa amepewa chakula, wali na maharage, na Wasamaria wema.
Akiwa kapakatia sahani la wali aliopewa.
Watu waliokusanyika kumshangaa.
BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatika jina lake mara moja jana majira
ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam alianguka
wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo
walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali.
TOA MAONI YAKO HAPA