Home » , » PICHA ZA UTUPU ZAZIDI KWA AKINA DADA.... TAZAMAHII

PICHA ZA UTUPU ZAZIDI KWA AKINA DADA.... TAZAMAHII

Tabia  ya  kupiga picha  chafu  za utupu  imeendela kuwatafuna  akina  dada  hapa  nchini..... Tabia hii  ilianzia  kwa  wasanii maarufu kama  WEMA SEPETU,  JACK  WA  CHUZ,  LULU MICHAEL  RAYUU na sasa  imeingia  kwa  warembo wa  kawaida 

Pamoja na jitihada za kuwaanika watu  hawa, tabia hii  imeendelea kuota mizizi kila kukicha.Wahusika wakuu wa  uchafu  huu ni akina dada.......

Iko haja kwa  akina  dada  kujithamini.....Kwa  nini  kila siku ni wao tu??? 

2007 Trumpet Awards
Mtoto wa Usher Raymond amelazwa kwenye chumba cha watu mahututi(ICU) baada ya kupata ajali kwenye swimming pool nyumbani kwa baba yake. Mke wa zamani wa Usher Tameka Foster amefungua mashtaka ambayo anasema kwamba watoto hawako salama nyumbani kwa Usher. Mashtaka haya aliyoyafungua yanaitaka mahakama kumpa watoto hao akae nao yeye au kwa mtu mwingine ili wakae kwa usalama zaidi. Tameka na Usher waliachana lakini walisumbuana sana kuhusu ishu za hawa watoto mahakamani na mwisho wa siku Usher ndiyo alikabidhiwa kuwalea.
- See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2013/08/mtoto-wa-usher-raymond-yu-mahututi-ex.html#sthash.IpcJQJDj.dpuf
    
TOA MAONI YAKO HAPA

Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved