Home » , » VIDEO:DIAMOND NA DAVIDO WALIVYOKAMATA FIESTA 2013,EBWANA WEE USIPIME JIONEEE

VIDEO:DIAMOND NA DAVIDO WALIVYOKAMATA FIESTA 2013,EBWANA WEE USIPIME JIONEEE

Diamond na Davido wakifanya show fiesta Dar ,noma sana.Baada ya kuenea habari kwamba Diamond Platnumz amemshirikisha Davido kwenye remix ya wimbo wake, My Number 1na tayari jana wamefanya video yake, wakali hao wawili waliwaonjesha wakazi wa Dar es Salaam kwenye siku ya pili ya Fiesta jana jioni katika viwanja vya Leaders. 
Tazama Video Hapo Chini

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved