Home » , » DHARAU ZIMEZIDI,HATA KAMA UNACHO MUHESHIMU ANAYETAFUTA,HII HAKI KWELI?

DHARAU ZIMEZIDI,HATA KAMA UNACHO MUHESHIMU ANAYETAFUTA,HII HAKI KWELI?

 
Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote.

 Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved