Mpiga picha mashuri Paul Donahue alifanikiwa kumpiga picha chui wakati yuko kwenye majani wakati anawinda mpaka anaingia kwenye maji na kufanikisha kumpata mamba kama windo lake. Tukio ili lilitokea kwenye mto wa Tres Irmãos ulioko katikati mwa nchi ya Brazil huko Amerika ya Kusini.
Jaguar akiingia majini
Hapa mamba akitoka majini baada ya kuzidiwa ujanja na chui
Mamba akijaribu kukimbia
Mamba akijaribu kujitetea
Lakini ilifikia mahali akawa mpole kwa chui
Mamba kaishakuwa mpole
chui akimtoa majini mamba