Home » » AMAKWELI PESA MWANA HARAMU TAZAMA YALIYOMKUTA MWANAMKE HUYU

AMAKWELI PESA MWANA HARAMU TAZAMA YALIYOMKUTA MWANAMKE HUYU

http://3.bp.blogspot.com/-jau2tZXnQ4A/UjGzc3htxJI/AAAAAAAAleE/94yV7RiHYZQ/s1600/mimba+bandia.jpgHuko Colombia mwanamke mmoja raia wa Canada amekamatwa uwanja wa ndege akiwa na tumbo la ujauzito wa bandia ambalo ndani yake alificha kilo mbili za dawa za kulevya aina ya Cocaine. Polisi wa uwanja wa ndege wa Bogota Colombia alimshtukia mwanamke huyo Tabitha Leah Ritchie aliyeonekana kuwa na tumbo lisilo la kawaida ndipo baada ya kumkagua wakakutana na dawa hizo.

Tazama video
                                                                        bofya uonee

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved