Watu wengi hujiulizia kama kuna dawa ya asili ya kurejesha bikira kwa wanawake.
Ni kwamba, haipo
dawa ya asili
inayo weza kurejesha
bikira kwa mwanamke.Dawa zilizopo ni dawa za kichina, na
side effects zake
ni kubwa sana.
Kwa
mujibu wa tafiti
mbalimbali za kitaalamu, mwanamke anaye
tumia dawa za
kichina kwa ajili
ya kurejesha bikira
yake anajiweka katika
hatari kubwa sana ya
kupatwa na ugonjwa
wa kansa kutokana na
kemikali mbalimbali zinazo
patikana katika dawa
hizo.
USHAURI WETU :
Tunashauri usitumie
dawa za kichina kwa
ajili ya kurejesha
bikira kwa sababu
madhara yake ni makubwa sana.
UTUMIE DAWA GANI?:Hakuna dawa ya kurejesha bikira, dawa za asili zilizopo ni dawa zinazo fanya kazi ya kuufanya uke kuwa tight sana lakini hauwi bikira.
Bikira ikishatoka haiwezi kurudi tena.