Uwoya, baada ya kuona picha hiyo akatupia ujumbe wake akisema: Hongera mama kwa kupata mwenzako…maaama h.Wadau mbalimbali nao walimpongeza Johari kwa hatua hiyo huku wengine wakihoji imekuwaje kimyakimya?
Maswali na pongezi hizo za wadau zilijibiwa na Johari mwenyewe ambaye aliandika: ‘Thanx ndo maisha yanachange’ (yaani asante ndiyo maisha yanabadilika).
Alipopigiwa simu juzi na kuulizwa kama amefunga ndoa kwa siri, staa huo alicheka na kusema: “Hakuna kitu kama hicho jamani.”