
Irene Uwoya au unaweza kumuita Mrs Ndikumana na pia ni mama Krish, hivi karibuni ameingia kwenye headlines na TV show yake mpya kabisa ambayo itaoneka @CloudsTV.Lakini hapa nakupa nafasi uone gari kali ambalo anaendesha Irene Uwoya hivi sasa. Ukiliangalia kwa nje ni gari classic,expensive na pia inamuonekano na rangi nzuri. Hivi sasa Uwoya








