Home » , » REKODI:PARTY YA KANYE WEST YA KUMVISHA MPENZI WAKE PETE,YAGHARIMU MAMILIONO YA DOLA,TAZAMA ILIVVYO KUA AMA KWELI PESA...

REKODI:PARTY YA KANYE WEST YA KUMVISHA MPENZI WAKE PETE,YAGHARIMU MAMILIONO YA DOLA,TAZAMA ILIVVYO KUA AMA KWELI PESA...

BXKcS_TIIAAt331
Unaambiwa Kanye West alikodi uwanja wa baseball kwa kiasi cha dola 35,000 kwa ajili ya kuandaa party ya kumvalisha pete mpenzi wake ambae ni TV Star Kim Kardashian baada ya miezi minne tangu wapate mtoto ambapo party iliambatana na bendi ya Orchestra ambao walikuwa wanapiga wimbo wa Lana Del Rey’s “Young and Beautiful” ambao Kim K anaupenda sana Mashuhuda wanasema Kanye West alipiga magoti kumvalisha pete ya almasi (15 carant) na kumwambia Kim K “Please marry me” wakati huohuo ubao wa matangazo kwenye uwanja huo uliandika
maneno PLEEEASE MARRY MEEE!!! na baada ya Kim K kusema yes, ndugu na marafiki wa Kim na Kanye waliungana nao kusherekea.
Mitandao ya udaku huko Marekani imeripoti kwamba party hiyo ilikuwa ya gharama kubwa kuanzia kukodi uwanja, pete pamoja na malipo ya bendi na mmoja kati ya wafanyakazi wa bendi alisema wamelipwa mara nne zaidi kila mmoja kwa kufanya kazi hii ukilinganisha na pesa wanazopata kwenye kazi nyingine zinazofanana na hii.

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved