Home » , » NORA:MIMI NI MWANAMKE HIVYO MPENZI NI LAZIMA,KISA HIKI HAPA CHA KUPAYUKA

NORA:MIMI NI MWANAMKE HIVYO MPENZI NI LAZIMA,KISA HIKI HAPA CHA KUPAYUKA

Nuru Nassor(Nora) ambaye ni star wa siku nyingi wa filamu na maigizo nchini amepata mpenzi mpya baada ya kumwagana na Geofrey Kusila. 

Nora aliweka picha Instagram akiwa na jamaa huyo na pembeni kukiwa na mbwa na kuandika ".na mlivyosawigika kama huyu mbwa, mjipange nina hasira na nyinyi hadi Mungu anajua". 
 
  Nora na jamaa huyo

Nora alipoulizwa na paparazi  kuhusu mwanaume huyo alijibu "Mimi ni mwanamke hivyo kuwa na mpenzi ni lazima na huyo uliyemuona ni mwanaume, hivyo haina haja ya kujibu na kuhusu anaitwa nani hiyo ni siri yangu, siwezi kuweka wazi jina lake kwa sasa" 

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved