
Baada ya kuipata email, nimeingia kwenye website ya tuzo zenyewe na kukuta ni kweli na list nimeiweka hapo chini.
Kwenye hii email, Conrad kutoka
Timamu Effects amesema ‘kwa sasa tunasubiri matokeo yatakayotoka nchini
UK ambapo pia MDUNDIKO inashindanishwa tarehe 16 Novemba 2013 ikiwania
FILAMU BORA YA ASILI.

Ukitaka kujua utofauti wake
mkubwa na maproducer wengine Tanzania tazama hiyo trailer ya movie ya
Mdundiko hapo chini, movie inatarajiwa kutoka wiki chache kutoka sasa.
Hii hapa chini ndio list ya movie nyingine zilizoshinda pamoja na nchi zinakotoka..