Home » , » TAZAMA JINSI KANSA ILIVYOMCHAKAZA MREMBO HUYU.duuu

TAZAMA JINSI KANSA ILIVYOMCHAKAZA MREMBO HUYU.duuu


Idiagbonya Osarere Debbie ni medical technician anayesumbuliwa na gonjwa hatari la kansa ya ziwa na inaenea kwa kasi sana
.Titi moja limeshaharibika na tatizo hilo limehamia kwenye titi la pili na shingoni. Anahitaji (N6 million)  ni sawa na shillingi 59,918,510.83 za kitanzania(tuseme milioni 59,920,000) ili afanyiwe oparesheni na familia na marafiki zake wanasema siku zake za kuishi zilizobaki hata mwezi hazifiki asipofanyiwa oparesheni hiyo haraka . Walikuwa wanaomba msaada wachangiwe kiasi cha fedha haijalishi ni kidogo kiasi gani wanaomba sana wasaidiwe ili ndugu yao afanyiwe oparesheni. Picha zingine za hali ya Debbi ya sasa.







 
 

 

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved