Home »
kisiasa
,
KITAIFA
» Mh. WENJE MBARONI KWA KUCHOCHEA MAANDAMANO YA CHADEMA JIJINI MWANZA
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia kwa mahojiano Mbunge wa
Nyamagana jijini humo,Mh Ezekiel Wenje kwa madai ya kuongoza maandamano
yaliyosambaratishwa na polisi hapo jana kwa kutumia mabomu ya kutoa
machozi...
Habari zaidi, baadae.
TOA MAONI YAKO HAPA