Tulipendana sana,nikakuita "darling" ukaitika "yes honey", ##Tulifanyiana mengi mazuri.
#Leo mpenzi umepata mwingine,nimekubembeleza usiniache umekataa,sasa hunitaki tena.
Mara matusi unanitukana,unanivua nguo kuwa mimi si lolote,sikuwa lolote
katika kukupenda,sijui kupenda mara mimi si mwanaume wa type yako na
mengine mengi yasiyoandikika.
#HUNITAKI TENA KWA SABABU UMEPATA MWINGINE SASA KWA NINI UNANIVUA NGUO KWA MARAFIKI ZAKO?
niache bila matusi tena mengine ya nguoni.
It is not fair.
TOA MAONI YAKO HAPA