|
Msanii
wa Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Fleva),Nassib Abdul a.k.a Diamond
akiwajibika jukwaani sambamba na madansa wake wakati wa Onyesho Kabambe
la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa
CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na maelfu ya
wakazi wa Mwanza na mikoa ya Jirani waliokataa kupitwa na Onyesho hilo
kabambe. |
|
Diamond
akiwa amenyanyuliwa juu na madansa wake wakati wa Onyesho Kabambe la
Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa CCM
Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na maelfu ya
wakazi wa Mwanza |
|
Mkali
wa Ryms afahamikae kama Joseph Haule au ukipenda waweza muita Profesa
Jay wa Mitulinga akiwapagawisha vilivyo wakazi wa Jiji la Mwanza
waliofurika kwa wingi ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba kwenye Onyesho
Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye
Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na
maelfu ya wakazi wa Mwanza |
|
Wanamuziki
wakongwe katika medani ya muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura a.k.a
Lady Jaydee na Joseph Haule au ukipenda waweza muita Profesa Jay
wakiburudisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliofurika katika Uiwanja
wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki katika muendelezo wa Maonyesho
ya Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013. |
|
Mwanadada
nguli katika tasnia ya Muziki hapa nchini, Muite Bint Komando au Lady
Jaydee akifanya vitu vyake ndani ya jukwaa moja la Kilimanjaro Tanzania
Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza
mwishoni mwa wiki. |
|
Wakongwe
katika medani ya muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura a.k.a Lady
Jaydee na Joseph Haule a.k.a Profesa Jay wakionyesha uhodari wao kwa
kulishambulia jukwaa mbele ya maelfu ya mashabiki wa muziki waliofurika
kwa wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. |
|
Mwanamuziki bora wa Hip Hop hapa nchini kwa mwaka 2013, Kala Jeremiah akiwarusha mashabiki wake waliofurika kwa wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. |
|
Kala Jeremiah akiendelea kufanya vitu vyake jukwaani. |
|
Msanii
Bob Junior akiimba moja ya nyimbo zake wakati wa muendelezo wa awamu ya
pili ya Onyesho la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika
kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. |
|
Bob Junior na madansa wake. |
|
Mkali wa Miondoko ya Miduara,AT akiwapagawisha mashabiki wake lukuki ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. |
|
Mkali wa RnB,Ben Pol akifanya vitu vyake jukwaani. |
|
Roma Mkatoliki akifanya mambo yake jukwaani. |
Shangwe tupu zilitawala uwanjani hao.
|
Fid Q na kamuzi lake likiendelea. |
|
Mkali wa miondoko ya Ragger, Dabo akipigwa tafu na msanii mwenzake,Had Man |
|
Snura
Mushi a.k.a Mamaa wa Majanga akionesha umahiri wake mbele ya mashabiki
wake wa jiji la Mwanza waliofurika kwa wingi katika Uwanja wa CCM Kirumba,jijini Mwanza mwishoni mwa wiki, kushuhudia onyesho la Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013. |
|
Othaman Michuzi (shoto) akiwa na Meneja Mauzo wa TBL kanda ya Ziwa,Mdau Erick |
|
Dada Ester na Snuna. |
|
Show love on Back stage. |
|
Toka shoto ni DJ Mafuvu wa EATV,Hellen Kazimoto,Ramadhan (Meneja wa Villa Park jijini Mwanza),Mdimu pamoja na Abdallah Ambua. |
|
Mdau Zeinul Mzige wa MO Blog akishow love na Mwanadada Hellen Kazimoto walipokutana jijini Mwanza.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI |
TOA MAONI YAKO HAPA