Polisi wakiwa katika ulinzi mkali

Askari wakiwa katika juudi za kuhakikisha mambo yanakaa sawa na hali iwe shwari

Maduka yakiwa yamefungwa


Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini hatma yao

Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu

Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote


Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA

Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia

Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite

Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....
na ETCO THE BEST