Siku ya jana vijana 11 walikamatwa
kwenye msitu mmoja uliopo Mtwara huku wakiwa wanajifunza mafunzo ya
kigaidi. Vijana hao walikamatwa na cd za mafunzo ya Al Shabaab, Al
Qaeda, kuunda jeshi, zindukeni Zanzibar, mauaji ya Idd Amini na
Mogadishu Sniper.
Majina ya watu waliokamatwa ni kama ifuatavyo
Watuhumiwa
wote hao tayari wameshafikishwa mahakamani na polisi bado wanaendelea
na uchunguzi kujua kama kuna makundi mengine na ninani ambaye anafadhili
matukio mabovu kama haya.
TOA MAONI YAKO HAPA