Kumekuwa na minong’ono mingi juu ya Jokate na jamaa mmoja aitwae Lucci kuwa wanamahusiano ya kimapenzi, leo Jokate mwenyewe kupitia account yake ya instagram amesema haya:“Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that’s what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko
maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi
yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo
yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi
only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko
binadamu yoyote yule. Ila I’m a pretty good girl to be honest. Najaribu.
Kwa nyinyi walimwengu don’t be fooled by my PRETTY BABY FACE I know
what I want, am fierce and I don’t take trying to tarnish my image
easily. So kindly don’t mess with KIDOTI. Msione mtu mkimya mkajua ndio
wa kumuonea. Still waters run deep 3. Yes there’s some guy I’m checking
out. Like any other female I deserve love cause I got so much love to
give hey. So whoever it is tafadhali tusiharibiane kwa maneno maneno.
Have a blessed evening!!!..”