Showing posts with label MADENT. Show all posts
Showing posts with label MADENT. Show all posts

BINTI AMCHOMA KISU BABA YAKE KWENYE PAJI LA USO,KISA NGONO...


Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Erkisongo iliyopo wilayani Monduli mkoani Arusha, anadaiwa kumchoma kisu katika paji la uso baba yake mzazi Daudi Msemo baada ya kuonywa kuachana na tabia ya kuchanganya ngono na masomo.


Hayo yamesemwa na Fatuma Daudi ambaye ni mama mzazi wa mwanafunzi huyo mara baada kutokea tukio hilo la kusikitisha hivi karibuni nyumbani kwao Monduli ambapo denti alipofikishwa polisi alisema alifanya kitendo hicho kwa sababu baba yake alitaka kumbaka.

“Binti yetu huyu amekuwa akibadilika tabia na mara nyingi tumekuwa tukimuonya aache vitendo vya umalaya akiwa mwanafunzi lakini bado amekuwa akiendeleza tabia yake hiyo ambayo sisi wazazi tumeona ni kudharau maagizo yetu,” alisema Fatuna.

Aliongeza kuwa, tabia hiyo ilikuwa ikimfanya mwanafunzi huyo kuchelewa kurudi nyumbani na wakati mwingine kutorudi kabisa.

Mama huyo alisema, kutokana na tabia hiyo waliamua kumdhibiti ili aache lakini matokeo yake alimchoma kisu baba yake na akamsingizia alitaka kumbaka hali iliyowalazimisha polisi kuwaweka ndani wote.

Fatuma alikwenda mbali zaidi kwa kuwaomba baadhi ya wanajeshi ambao wana uhusiano wa kimapenzi na binti huyo waache kwa kuwa ni kinyume cha maadili na mwanaye bado ni mwanafunzi wa kidato cha nne.

Maelezo ya denti huyo yalimfanya baba mzazi kuahidi kujiua baada ya kutoka kituoni hapo akidai amedhalilishwa sana, hali iliyowafanya polisi kuamua kuendelea kumshikilia licha ya kwamba walishamruhusu kutoka baada ya mkewe kumtetea.

Afisa mmoja wa jeshi la polisi ambaye hakutaka kuandikwa jina lake kwa kuwa siyo msemaji alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

“Tunaendelea na uchunguzi na wote wawili, baba na mwanaye tunawashikilia ili kubaini chanzo cha kutokea kwa tukio hilo, baada ya uchunguzi maelezo zaidi utapewa na kamanda wa mkoa afande Liberatus Sabas, kwani ndiye msemaji wa jeshi mkoani hapa,” alisema afisa huyo

BINTI WA KIBONGO AANIKA NYETI ZAKE HADHARANI TAZAMA



Utandawazi  umeendelea  kuwaangamiza  dada  zetu  wanaopenda  kuiga  mambo  wasiyoyajua....
Katika  kuperuzi  kwetu, Tumefanikiwa  kuzinasa  picha  za  mrembo  huyu akiwa  katika  pozi  la  nusu  uchi.
Hii si  mara  ya  kwanza  kwa  mtandao  huu  kuzinasa  picha  za  mrembo huyu ambazo  husambazwa  na  yeye  mwenyewe  kwa  wapenzi  wake  na  mashosti  zake....
Mapema  mwezi wa  saba, mtandao  huu  ulizinasa  picha  2  za  mrembo  huyu  na  kuamua  kuzipotezea. Mwezi  wa nane  tulinasa  picha  zake  tena  na  kuamua  kuzipotezea...
Awamu  hii  tumetumiwa  tena  sample  nyingine  ya  picha  zake  za  utupu.Hii  inadhihirisha  kwamba  ni  kawaida  yake  kujifotoa  akiwa  mtupu.
Kwa  kuwa  sote  tunajua  kwamba  maadili  ya  kitanzania  hayaruhusu   mchezo  huu  mchafu  wa  mikanda  na  picha  za  uchi, mtandao  huu  umeamua  kumuumbua  kama  ilivyo  kwa  watu  wengine  ili  iwe  fundisho  kwa  dada  zetu  wengine.
TUJIKUMBUSHE:
Mapema  mwezi  wa  sita  mwaka  huu, polisi  kanda  maalumu  ya  Dar  ilimfukuza  kazi  polisi mmoja  wa  kike  baada  ya  picha  zake  za  UCHI  kuvuja  mitandaoni.
Hii  inadhihirisha  umakini  wa  serikali  yetu  katika  kuyalinda  na  kuyatetea  maadili  ya  mtanzania  ambayo  yamekuwa  yakibomolewa  makusudi.
                                   BOFYAAAA UJIONEEEEEE
 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved