Maafisa
wa filamu mjini Mombasa wameanzisha msako mkali dhidi ya wanaoendeleza
biashara haramu ya sinema au filamu za ngono. Katika siku ya kwanza ya
msako wao wamenasa baadhi ya wanaodaiwa kuuza video hizo na
wanaolengwa sasa ni maeneo ambako sinema hizo zinarekodiwa
video yenyewe hiyo hapo chini....