Home »
MATUKIO
» KUTOKUTUNZA MAZINGIRA, KUNAWALIZA WAKULIMA WA MPUNGA
Mabadiliko ya tabia nchi na athari zake kwa wakulima wa mpunga Idodi wilaya ya Iringa
|
Exzavery
Lukuvi ( kulia) na Geofrey Lukuvi wakipita katika mashamba ya mpunga
ambayo yamekauka kutokana na hali ya hewa inayosababishwa na
uharibifu wa mazingira katika maeneo mbali mbali wakati miaka ya nyuma
eneo hilo huwa na maji msimu mzima RAI: POPOTE ULIPO TUNZA MAZINGIRA KWA FAIDA YAKO NA JAMII INAYOKUZUNGUKA |
TOA MAONI YAKO HAPA