Waziri mkuu pinda
Pasiance mlowe mtafiti wa kituo cha sheria na haki za binadamu akizungumza na waandishi habari jijini dar es salaam |
kituo cha sheria na haki za binadamu
Tanzania
kimetangaza rasmi kumpandisha mahakamani siku ya alhamisi waziri mkuu wa
Tanzania mh Mizengo Pinda kufuatia kauli yake aliyoitoa bungeni mnamo
mwezi wa
sita kauli ambayo ilipingwa na watu wengi sana
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mkurugenzi wa maboresho na utafiti bw Harold Sungusia amesema kua uamuzi huo umekuja baada ya kuona juhudi za kumtaka waziri pinda kuwaomba watanzania radhi kugonga mwamba kitu ambacho amesema kuwa ni kitendo ambacho kimeashiria kupania.
Bw Sungusia amesema kuwa siku ya alihamisi wanawasilisha kesi ya kumstaki waziri mkuu katika mahakama ambayo bado hawajaiweka wazi kwa wanahabari
Kama utakumbuka wakati wa vurugu za arusha na zile za mtwara waziri mkuu akitoa kauli kuwa ,ukufanya fujo na umeambiwa usifanye fujo utapigwa tu,na mimi na sema wapigeni maana tumechoka.

Arold Sungusia mkurugenzi wa maboresho na utafiti kituo cha sheria na haki za binadamu. |