Mahojiano
baina ya Jeshi la Polisi na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,
Josephat Gwajima yaliyokuwa yanatarajiwa kuendelea jana, ikiwa ni siku
mbili baada ya kuachiwa kwa dhamana na jeshi hilo, jana yalikwama
kuendelea kutokana na kile kilichoelezwa kutoimarika kwa afya ya askofu
huyo, na sasa yatafanyika Alhamisi ijayo.
Gwajima
alidaiwa kuzimia wakati akihojiwa na makachero wa Polisi waliokuwa
wanamhoji, alipojisalimisha alasiri ya Ijumaa iliyopita baada ya
kutakiwa kufanya hivyo, kutokana na kufunguliwa jalada la malalamiko ya
kumkashifu Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,
Mwadhama...
UCHAWA WASADIKIWA KUWA CHANZO CHA AJALI NA VIFO KWA WAIMBAJI WA INJILI....HABARI KAILI IHAPA
Gladness Mallya na Chande Abdallah KUTOKANA
na ajali na vifo kwa muziki wa Injili vilivyotokea hivi karibuni,
imedaiwa kuwa baadhi vimetokana na uchawi.Baada ya kuzagaa kwa habari
hizo, mapaparazi wetu walimtafuta Rais wa Chama cha Muziki wa Injili,
Addo Novemba ambapo alikiri kuwa kweli uchawi upo na unahusika.
Rais wa Chama cha Muziki wa Injili, Addo Novemba.
“Kwenye msafara wa mamba hata kenge wapo, hili la uchawi silikatai
kwani hata kwenye vitabu vya dini limetajwa, kwa hiyo watu wafahamu
kwamba tuna vita kali.
“Hata mimi ninasikia kuna baadhi ya waimba Injili na wachungaji
wanaoenda Nigeria kwa ajili ya kuchukua nguvu za kishirikina...
HISTORIA YA VITA KUU KWA UPANDE WA AFRIKA MASHARIKI....

Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa bomu la kwanza kurushwa kwenye
Vita ya Kwanza ya Dunia (WWI) kwa upande wa Afrika Mashariki lilitupwa
katika Bandari ya Dar es Salaam.
Bomu hilo lililokusudiwa kuharibu mfumo wa
mawasiliano bandarini, lilirushwa kutoka kwenye meli ya Waingereza
iliyojulikana kama Astrea siku ya nne tangu kuanza kwa vita hivyo
vilivyoua watu milioni 16 duniani kote.
Akizungumza nyumbani kwa Balozi wa Uingereza
nchini, jijini hapa juzi, wakati wa kuazimisha miaka 100 ya WWI Afrika
Mashariki, Mratibu wa Taasisi ya Great War in Africa, Dk Anne Samson
alisema kuwa baadhi ya watu hawafahamu kuwa harakati za vita hivyo
zilifanyika...
HIVI NDIVYO DENTI ALIVYOTESEKA ICU KWA MIEZI MITANO...INASIKITISHA MNO.......
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
MATESO ya mwanafunzi Norat Rashid (16), anayesoma kidato cha pili
katika Shule ya Sekondari Mtoni Relini, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam
ni ya kuhuzunisha na kutia huruma kutokana na ajali ya pikipiki
aliyoipata miezi nane iliyopita wakati akienda shuleni.
Mwanafunzi
Norat Rashid akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya
Fahamu (MOI) iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Norat alimuambia mwandishi wetu hivi karibuni katika Taasisi ya
Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) katika Hospitali ya Muhimbili Jengo la
Mwaisela chumba namba mbili kuwa...
YALIYOMSIBU WEMA SEPTU....MAKUBWA APATA PIGO LA MAMILION.......KISA TAZAMA HAPA
Stori: Makongoro Oging’ NA MAYASA MARIWATA
KUNA STAA wa sinema za Bongo na Miss Tanzania 2006,
Wema Isaac Sepetu ‘ameingizwa mjini’ na mhariri wa filamu Bongo mwenye
asili ya Kiarabu aliyejulikana kwa jina moja la Chidy kwa kuingia mitini
na shilingi 5,000,000 alizompa ili azihariri filamu zake mbili lakini
kazi haikufanyika.
Staa wa sinema za Bongo na Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania Kituo
Kikuu jijini Dar es Salaam, kilisema ilikuwa mwaka jana (2013) ambapo
Wema alimkabidhi mhariri huyo filamu mbili, Super Star na Vian Unaspect.
MALIPO YAFANYWA, KAZI HAKUNA...
LEBANONI:MLIPUKO WA BOMU WA UA WAZIRI WA FEDHA,NA WENGINE 70 WAJERUHIWA.....TAZAMA HAPA
Mlipuko
wa bomu kwenye gari umeua watu saba akiwemo Waziri wa Fedha wa zamani
wa Lebanon, Mohamad Chatah na kujeruhi wengine 70 jijini Beirut,
Leban...
WEMA NDANI YA POZI MATATA LA NUSU UCHI,HEBU TAZAMA

Wema Sepetu amejikuta akijishushia heshma yake baada ya kutupia picha mtandaoni zikimuonesha akiwa
amevaa mavazi yaliyoacha wazi baadhi ya sehemu nyeti za mwili wake hasa matiti, kitovu na kifua kwa ujumla..
Katika
picha hizo ambazo zinapatikana instagram, Wema Sepetu anaonekana
akiwa amevaa kiblauzi chenye matundu kiasi cha kuifanya sidiria aliyovaa
ionekane huku sehemu nyingine kama kitovu, tumbo na kifua kwa
ujumla zikiwa wazi pi...
HAYA NDIYO MAVAZI YANAYOSABABISHA UBAKAJI KUZIDI,DADA ZETU PUNGUZENI

Habari zenuLeo niko na nyie dada zangu ninaowaheshimu na kuwapa heshima mnayostahili!!Ninakereka
sana na vijivazi vyenu mnavyovivaa siku hizi kwa kuwa haviendani kabisa
na utamaduni wetu wa kitanzania na unapoteza maadili kabisa katika
jamii husika, siyo wakina dada wala akina mama, wote wamejisahau kabisa,
unamkuta mdada/mama amekuvalia mini-skirt kiasi kwamba nusu kama siyo
robo tatu ya maumbile yake anayaacha wazi,.Sijui mnafanya
makusudi ama vipi maana bado sijapata jibu mpaka sasa, wengine wanasema
mnawatega wanaume ili waingie kingi, wengine wanasema ndiyo kuendana na
wakati hivyo yaani ni taabu tupu dada zangu, kwanini...
MASHOGA,WASAGAJI WAFANYA SEMINA MOROGORO.TAZAMA JINSI ILIVYOKUA
, MOROGORO
WAKAZI
wa mjini hapa walifurika katika Ukumbi wa Hedema pande za Msamvu,
kushuhudia semina ya mashoga na wasagaji, Risasi Mchanganyiko
limefuatilia kwa karibu Semina hiyo ya siku tano iliyoshirikisha mashoga
20 na wasagaji 10 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania ilianza Oktoba 28
hadi Novemba Mosi mwaka huu.
Mwandishi wetu alitinga kwenye Ukumbi wa Hedema na kushuhudia mashoga na wasagaji hao wakipata kifungua kinywa .
Mmoja
wa mashaga hao aitwaye Ibra kutoka Lindi alidai kwamba semina hiyo
imewajengea uwezo wa ufanishi wa kazi yao hiyo ya ushoga.
“ Mimi sasa nitakuwa nikitembea na kondomu zangu kwenye begi,
nikipata bwana sina shida ya kumuuliza kondomu, hayo ni miongoni mwa
mambo tunayoyajadili kwenye semina hii,” alisema Ibra.
Mwandishi wetu alijaribu kuingia...
UKATILI WA KINYAMA:MTOTO WA MIAKA MITANO AUAWA KIKATILI NA WATU WASIOJULIKANA,,,HAZAMA
Stori: Gladness Mallya na Chande Abdallah
Inauma sana! Mtoto Neema Nyamuhanga mwenye umri wa miaka mitano, mkazi
wa Mlandizi, Pwani ameuawa kikatili na watu wasiojulikana kisha mwili
wake kutelekezwa porini.
Mtoto Neema enzi za uhai wake.
Mwili wa mtoto Neema uliokotwa na wachunga ng’ombe katika pori la
Disunyara lililopo kilometa saba kutoka nyumbani kwa akina Neema,
Mlandizi Novemba mosi, mwaka huu.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, mwili huo ulikuwa umenyofolewa
koromeo, meno yote ya chini na sehemu za siri huku nguo ya ndani ikiwa
imewekwa pembeni.
Mama mzazi wa mtoto Neema (katikati)...
WAASI WA M23 WASALITI AMRI NA KUDAI MAZUNGUMZO NA SERIKALI .NI BAADA YA HIKI KITENDO HAPA....

Wanajeshi wa serikali katika Jmauhuri ya kidemokrasi ya Congo, wanashambulia ngome ya mwisho ya waasi wa M23 katika maeneo ya milimani ,msituni Mashariki mwa nchi.
Mamia ya wakimbizi wanatoroka vita karibu na mpaka wa Mashariki mwa Congo na kuingia nchini Uganda.
Viongozi wa kundi hilo la M23 walitoa wito kwa wapiganaji wao kusitisha vita na kuruhusu mazungumzo ya amani na serikali.Kiongozi wa wapiganaji hao Mashariki mwa nchi ametangaza kuwa watasitisha mapigano katika vita vyao na jeshi la serikali.Bertrand
Bisimwa alisema kwenye taarifa kwamba anawasihi wapiganaji wote haraka
waache uhasama na wanajeshi, ili...
MKE WAMTU SIMWENZIO:SHABARO ANUSURIKA KUTOWEKA DUNIANI BAADA YA KIPIGO CHA MBWA MWIZI KUMPATA.HEBU TAZAMA ILIVYOKUA

KIJANA
mmoja mtanashati ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikuweza kupatikana
mara moja juzikati alijikuta akichezea kichapo cha mbwa mwizi kisa
kikidaiwa kuwa ni mke wa mtu.
Usione vyaelea: Sharobaro (katikati) akilia baada ya kuchezea kichapo kwa kukutwa na mke wa mtu.
Tukio
hilo lilijiri saa saba usiku mwishoni mwa wiki iliyopita, Chalinze
mkoani Pwani ambapo mapaparazi wetu walikwenda kwa ajili ya uzinduzi wa
kundi jipya la sanaa liitwalo 3 Ways. Wakati
shamrashamra zikiendelea, ghafla liliibuka timbwili na katika
kufuatilia ilibainika...
WANAJESHI WA KENYA KDF WAMEISHAMBULIA KAMBI YA MAFUNZO YA AL-SHABAAB NA KUUWA WATU 300:

The
Kenya Defence Forces (KDF) warplanes have bombed and destroyed
Al-Shabaab training camp in Somalia in retaliation for September’s
terror attack on Westgate Mall, where 70 people were killed and scores
wounded by terrorists.
Speaking
yesterday, KDF Spokesman, Colonel Cyrus Oguna, noted that the Kenyan
drone strike on Thursday killed several Al-Shabaab terrorists destroying
the training camp where Al-Shabaab organized the Westgate Mall attack. “We
have been monitoring this area for some time and we moved in when we
got the green light. This is the same area where Al-Shabaab attackers at
Westgate did their training”,...
LAANA:VIDEO MSICHANA AKIMNYONYA BOYFRIEND WAKE NYETI,YAVUJA MTANDAONI HII HAPA
Huyu ndiye binti wa chuo kikuu na msomi kutoka kenya...Arekodiwa
na mpenzi wake wakati akifanya ngono nae ...Tena cha kumdhalilisha
zaidi arekodiwa akikataa kunyonya u**o huku akilalamika " JAMANI MI
SITAKI KUN****A"..Hii ni aibu sana kwa kinadada ambao mpaka leo
wanaendea kurekodiwa na wapenzi wao...Video hii inatamba sana kwenye mitandao ya Watssup na mitandao ya kenyaKUMBUKA..
Ukisex na ukikubali kuonyesha uso na kurekodiwa ...Be prepared siku moja utakuwa hadharani....Mabinti jifunzeni...Mnaudhi sana..
...
DK SLAA APONDA MFUMO MPYA WA UFAULU.....HOJA ZAKE HIZI HAPA

SIKU tatu
baada ya serikali kutangaza mfumo mpya wa madaraja ya ufaulu, licha ya
kupingwa na wengi, kitendo hicho pia kimemhuzunisha Katibu Mkuu wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa.
Akizungumza jana, Dk. Slaa alisema: “Kwa kubadili mfumo wa maksi
serikali sasa bila huruma imeamua kwa makusudi kabisa kuua ubora wa
elimu nchini, ni kweli kwa kupanua wigo wa kufaulu serikali haitalaumiwa
kwa akili ya kawaida, itaonekana wamefaulu wote, lakini elimu
haitawasaidia watoto wenyewe, haitawasaidia wazazi wenyewe, na
haitasaidia taifa letu.
Tutapataje madaktari bora, tutapataje...
HUYU NI MSICHANA MREMBO ANAUZA BIKIRA YAKE KWA SH 48 MILIONI.KWA MAELEZO ZAIDI HAPA

Upo single? Una shilingi milioni 43 za
kuchezea? Basi mrembo huyu wa Urusi, anakupa fursa ya kulimenya ganda
lake vyovyote utakavyo kwa mkwanja huo.
Mrembo huyo aitwaye Shatuniha ameinadi
bikira yake £17,000 sawa na zaidi ya shilingi milioni 43 za Kibongo.
Shatuniha, 18, alisema: “Nina shida ya haraka ya hela, hivyo nauza kitu
changu cha thamani zaidi ninachomiliki. Niko tayari kukutana na mtu
haraka iwezekanavyo, hata kama ni kesho na nipo tayari kuthibitisha kama
kweli ni bikira.
Naweza kuja kwenye hoteli pale
Predmostnaya Square nikiwa na nyaraka za kuthibitisha ubikira wangu, na
mtu ambaye atachukua hela na kuondoka...
MAKUBWAAA:HOTELI INAYOUZA NYAMA ZA WATU YABAINIKA HII HAPA
Polisi walifanikiwa kuvikamata vichwa
hivyo baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema wanaoishi karibu
na hoteli hiyo ambapo mbali na vichwa hivyo viwili lakini pia
walikamata bunduki mbili aina ya AK47,kofia mbili za jeshi pamoja na
simu nyingi.Watu saba wanashikiliwa na jeshi la
polisi nchini Nigeria katika hoteli moja iliyopo karibu na soko moja
maarufu sana nchini humo linalofahamika kwa jina la Ose-Okwodu katika
mji wa Anambra baada ya kukamatwa kwa vichwa viwili vya binadamu vikiwa
bado vibichi lakini jina la hoteli hiyo linahifadhiwakutokana na sababu
za kiusalamahotel human heads in onitsha “kila...
HUYU NDIYE BINADAMU MZITO KULIKO WOTE DUNIANI,ANA KILO 610,ANGALIA KUTEMBEA KWAKE

Mtu Huyu Ana Uzito Wa Kilo 610, Kutokana Na Afya Yake Kuhitaji Msaada
Kitaalam, kutokana na kuzidi kunona kadri siku zinavyozidi kwenda.
Mfalme wa Saudi
Arabia, ameingilia kati mpango wa kumsaidia Raia wa nchi hiyo, Khalid
bin Mohsen Shaari ambaye ndiye binadamu mnene na mzito zaidi duniani
akiwa na uzito wa kilogram 610, katika mchakato wa kumtibu na kumrudisha
katika hali nzuri zaidi.
Kutokana na unene,
ukubwa na uzito wake, Khalid hawezi kutembea wala kusogea mwenyewe bila
msaada wa kifaa maalum cha kumbeba akiwa katika kitanda chake, na cha
ajabu zaidi, Ni mshkaji mdogo tu ambaye umri wake ni kati ya miaka...
MADEMU WA MASTAA WANAOONGOZA KWA KUWA NAMVUTO MKUBWA DUNIANI HAWA HAPA

Hakuna
ubishi Cristiano Ronaldo ni moto uwanjani na anatajwa kama mmoja ya
wachezaji bora wa dunia. Hivyo mchezaji bora wa dunia mtu ambaye ni
nembo ya soka, hivyo anahitaji kuwa vitu bora kimojawapo ni mwanamke,
huyu hapa mtoto wa kirusi anaitwa Irina Shyk ni kweli kabisa anastahili
kuwa demu wa mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo. Irina Shyk ndio
anatufungia listi yetu ya wasichana ambao wana mvuto wamewahi ama wapo
katika mahusiano na wanasoka.
Antonella
Ruccozzo, binti wa kiaregentina ndiye aliuteka moyo wa mwanadamu ambaye
inasemekana yupo tofauti na wacheza soka wote kwa uwezo wake wa
kulisakata kabumbu....