Home » , , » VIDEO:AMINI AFUNGUKA JUU YA MAHUSIANO YAKE NA LINAH IKO HIVI......

VIDEO:AMINI AFUNGUKA JUU YA MAHUSIANO YAKE NA LINAH IKO HIVI......


Watu wengi na hasa wapenzi wa mziki mzuri kutoka kwa Amini Mwinyimkuu na Linah Sanga wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kuhusu uhusiano wao wa kimapenzi waliokuwa nao umeishia wapi.

Kupitia Kurasa ya EATV Amini amethibitisha juu ya kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na Linah na kugusia mahusiano yake mapya kidoooogo.

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved