Home » , , » HAYA JAMANI;PATA KOZI YA KITANDANI KWA AJILI YA MWENZA WAKO KWA KIASI CHA £1,400 KWA TEM.HABARI KAMILI

HAYA JAMANI;PATA KOZI YA KITANDANI KWA AJILI YA MWENZA WAKO KWA KIASI CHA £1,400 KWA TEM.HABARI KAMILI


Hii ni shule ya kwanza inayotambulika rasmi 
Duniani kwa kutoa mafunzo ya ngono, ikifunza
 aina za mitindo ya kufanya ngono na namna ya kumuhudumia mwenza kwa mbinu mbalimbali.


Kwenye kila darasa katika kila shule mara 
zote hutokea kuwepo kwa mtoto ambaye huwa 
hafanya homework zake. Ndio maana ake, mpaka ilipokuja kutokea kufunguliwa kwa milango ya chuo
 hicho kilichopo Austria kwenye jiji la Vienna kinachojulikana kwa jina la Austrian 
International Séx School.

Shule hiyo hutoza £1,400 kwa temu moja, huku 
kikitoa mafunzo hayo kwa njia ya nadhalia na 
vitendo.

Wanafunzi wa shule hiyo huchanganywa na
 kuishi kwenye hostel moja ambapo hushauliwa wasaidiane kufanya ‘assignments’ zao.

Mkuu wa shule hiyo - Ylva-Maria Thompson - 
mtu ambaye huwezi mshangaa, ni nyota ya
 filamu za ngono na ni mtangazaji wa vipindi 
vya ngono kwenye TV.

Mwanamke huyo mwenye miaka 51 amesema:
 ‘Nia ni kuwafanya watu wawe wapenzi wazuri, kufahamu aina mbalimbali za mitindo ya kufanya
 ngono, namna ya kumshughulikia mwenza wako, kuzifahamu sehemu nyeti za mwili na kuwafundisha
 watu namna nzuri za ushiriki wa tendo la ngono.

Licha ya hivyo shule hiyo imekuwa ikipata vikwazo kadhaa, ambapo matangazo ya TV yanayoonyesha 
watu wakifanya ngono yamepigwa marufuku,
 huku wengi wakisema shule hiyo ipo kwa ajili ya
 kufanya biashara ya ngono.

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Support : Copyright © 2011. HABARILINE - All Rights Reserved