INASEMEKANA
huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana
maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamini kwamba ni mwanadamu, Meno ndio yalimtambulisha kwamba ni mtu
BINADAMU MWEUSI ZAIDI DUNIANI !.
Yani
amemfatilia dada huyu hadi kugundua kwamba kuna kampuni mpya ya
kutengeneza vipodozi iliobuni krimu ya kujichubua na kumbadilisha
mwanadada huyu ngozi yake kuwa nyeusi .
Hii ilikua ni katika majaribio ya kujaribu mafuta hayo kama yanaweza au laa ?.
Ndugu msomaji wangu huwezi amini mlimbwende huyu ni mzungu lakini sasahivi du !. Haya
sasa kwa wakina dada watakaohitaji mkorogo huu bomba wa kukufanya uwe
black beauty Endelea kutembelea masai nyotambofu blog siku sio nyingi
utakuta tangazo la vipodozi hivyo !.